Chumvi Mtembezi

...Ni Ujuha Mtupu!

  • Increase font size
  • Default font size
  • Decrease font size
Chumvi Mtembezi -- Ni Ujuha Mtupu!

Mfalme Lia

Nunua nakala ya hadithi hii mwanzo hadi mwisho

Mfalme Lia

(Imetafsiriwa kutoka kwenye kitabu cha Tales From Shakespeare cha Charles na Mary Lamb, , cha 1805 )

LIA, mfalme wa Uingereza, alikuwa na binti watatu; Gonerili, mke wa Chifu wa Albani; Regani, mkewe Chifu wa Konwoli; na Kordelia, mwanamwali, ambaye Mfalme wa Ufaransa na Chifu wa Burgundi walikuwa wanataka kumchumbia, na walikuwa kwa wakati huu wako kwenye Jumba la Mfalme Lia kwa makusudi hayo.

Read more...
 

Bora Michuzi

Bora Michuzi!

MTU anayetoka `bara' anapoingia Dizim kwa mara ya kwanza hushangaa kuwaona "watoto wa mjini" wanavyochakarika na maisha bila kuona aibu.

Read more...
 

Tuliza boli -- uwanja mpana!

Tuliza boli -- uwanja mpana!

Ni wazimu mtupu! Kumbe wapo watu wenye akili timamu wenye kusoma wendawazimu wa chizi lichochezi!

Nilijua hivi pale nilipopokea barua ya mtu mmoja aliyedai `nilimtachi' kwa kuzungumzia Tiktak ya kodi ya Takataka.

Read more...
 

Safari za maskini nyingi za bure!!

Safari za maskini nyingi za bure!!

Pamoja na ushawishi na tashwishi nyingi za kupiga madongo safari zangu za nje kwamba zinatia `losi' tu, bado siangalii makunyanzi. Naendelea na safari zangu za majuu bila kujali kelele wala mikwaruzo.

Read more...
 

Hata ukibadili kuni, moto ni uleule!

Hata ukibadili kuni, moto ni uleule!

KWA mlio mijini hamuelewi raha mliyonayo. Huku tuliko kijijini mambo ya kukirihisha tunayokutana nayo hayana kifani!

Yule mtu aliyejaribu kuleta za kuleta kule kijijini kwa madai ya kuwafundisha hisa ni nini, alistahili kukutana na el-nino ya dhoruba za mgambo wa kijiji na sungusungu majahili.

Read more...
 
  • «
  •  Start 
  •  Prev 
  •  1 
  •  2 
  •  Next 
  •  End 
  • »


Page 1 of 2

Karibu